Simba yainyoosha Bandari FC

Klabu ya Simba imeweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bandari FC katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Goli la Simba lilifungwa na Ibrahim Ajibu dakika ya 78.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia