Mwenyekiti wa Chadema wa Wilaya ya Arusha, Dereck Magoma amesema kuwa chama cha upinzani siyo dhambi kwasababu wako watu wanazaliwa mapacha lakini wana mitizamo miwili tofauti huku akiwataka Chama cha mapinduzi wakubali kukosoana kwa hoja bila kutukanana wala kupigana kwasababu itikadi ndiyo zinawatenganisha watu lakini undugu unabakia palepale
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
