Loading...

10/09/2019

VIDEO: Watu hawajui maana ya kupiga kura, kuna nchi zinapigana kwa ajili ya kupiga kura


Mkamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Philip Mangula ameshiriki katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kijijini kwao Kinenulo kata ya Imalinyi wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe,ili kupata fursa ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa,na kutoa rai kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo ili kutimiza haki yao ya kikatiba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU  SUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger