Arsene Wenger ateuliwa FIFA


Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa maendeleo ya Soka Duniani. (FIFA's chief of global football development).

Rais wa FIFA Gian Infantino amesema anaamini uzoefu na weledi wa Wenger utasaidia katika eneo la Ufundi na Utunzi wa sheria.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia