VIDEO: "Wanasiasa tunalalamika sana/ Mitandao haisaidii/Tukajadili uchaguzi" - Katibu mkuu UDP


Katibu mkuu wa chama cha UDP na pia mwenyekiti wa umoja wa vyama vidogo vya siasa, Abdul Mluya, amewapa somo viongozi wengine wa kisiasa ambao wamekuwa wakilalamika sana kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Pia ameomba kuitishwa kwa baraza la vyama vya siasa ili waweze kwenda kujadili changamoto zote zilizojitokeza ili kutatua tatizo lililopo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE