VIDEO: Waziri Jafo acharuka atupa ripoti ya mkandarasi


Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo leo Novemba 29 amefanya ziara ya kukagua mrandi wa ujenzi wa standi mpya ya Mabasi ya mikoani na nje ya nchi ambapo amebaini madudu na kuahidi  kuunda tume kwenda kuchunguza.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia