LIVE: Sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara
byMuungwana Blog 5-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anaongoza Maelfu ya Watanzania kusherekea Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Katika historia Tanzania Bara wakati huo ikiitwa Tanganyika ilipata Uhuru wake Disemba 09, 1961.