Mwanariadha Eliud Kipchoge atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima
byMuungwana Blog 3-
0
Mwanariadha wa mbio ndefu Mkenya Eliud Kipchoge, ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris causa) na chuo kikuu cha Laikipia kilichopo mjini Eldoret Kenya,kwa kuiwakilisha vizuri Kenya Kimataifa katika mashindano ya riadha.