Canada yawatolea wito raia wake walioko nchini Iraq kuondoka haraka

Canada yawatolea wito  raia wake walioko nchini Iraq kuondoka haraka iwezenakanavyo nchini humo.

Canada yawatolea wito raia wake walioko nchini Irak kuondoka nchini  Iraq kufuatia mauaji ya jenerali wa jeshi la Iran alieuawa katika shambulizi lililoendesha  na jeshi la Marekani.

Jenerali  Qassim Soleimani  aliuawa katika shambulizi  lililomlenga mjini Baghdad.

Wizara ya mambo ya mambo ya nje ya Canada  imetoa  tahadhari kwa raia wake kujielekeza nchini Iraq na kuwatolea witoo walipo nchini humo kuondoka haraka iwezekanavyo.
Mpya zaidi Nzee zaidi