Afisa habari wa timu ya Simba Haji Manara ameibuka na kupinga uamuzi wa kamati kwa kumchagua kocha wa timu wa yanga Boniface Mkwasa kuwa kocha bora kwa mwezi desemba mwaka 2019.
Kupitia akaunti yake ya instagram Manara amesema kuwa tuzo ya mchezaji bora imestahili ila Mkwasa haikustahili huku akilinganisha mechi alizo cheza na matokeo aliyopata.
Ameandika hivi;
''Hongera Francis @kachikahata kwa tuzo ya mchezaji bora mwezi December!!
Ila kamati inayotoa tuzo hz imechemka BIG TIME kwa tuzo ya Kocha bora wa mwezi huo!!
Pamoja na heshma zangu kwa kocha wa Yanga Mkwasa,lakini hakustahili kushinda hii tuzo kwa mwezi December,,
Kacheza mechi tatu,!
Mbeya City 0-0
Prisons kashinda 1-0
Na akashinda 1-0 dhidi ya Biashara,,
Kocha wa Simba kacheza nae mechi tatu zote kashinda tena kwa magoli mengi zaidi!!
4-0 na Lipuli,2-0 dhidi ya Ndanda na KMC,,
Lakini hata kocha wa Coastal Union Juma Mgunda kafanya vzuri kuliko Mkwasa,,
Najua kamati hii ilitaka kubalance,lakini kwa vigezo vya mwezi huo Mkwasa mmempa tu,,au kwa kuwa katoka sare na Simba juzi? Bad luck haikuwa December''.