Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 14 Ikulu jijini Dar es salaam awaapisha Mabalozi wateule wanne ambao ni Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini, Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya wa Usalama wa Taifa Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Namibia wengine ni Profesa Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe na Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi Tanzania Nchini Nigeria.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE
