VIDEO: Viingilio vyatajwa kuelekea mchezo wa wanawake jumapili


Watanzania waaswa kutoa hamasa na  kujitokeza kwa wingi siku ya Jumapili katika mchezo  wa wanawake chini ya umri 17 dhidi ya Uganda.
Hayo yamesemwa na  Mwenyekiti wa soka la wananawake Nchini Amina Karuma leo katika ufunguzi wa hamasa hio, pia ameomba vyombo vya habari kutoa hamasa kwa siku hizi zilizosalia .

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items