Waziri mkuu wa Italia autuhumu Umoja wa Ulaya kutoonesha ushirikiano wa kiuchumi katika juhudi za kupambana na virusi vya corona
Waziri mkuu wa Italia autuhumu Umoja wa Ulaya kutoonesha ushirikiano wa kiuchumi katika juhudi za kupambana na virusi vya corona.
Guiseppe Conte , waziri mkuu wa Italia, taifa ambalo limeathirika kwa kiasai kikubwa na virusi vya corona ametuhumu Umoja wa Ulaya akisema kuwa Umoja huo hauoneshi ushirikiano unaostahili katika uchumi katika harakati za kupambana na janga la virusi vya Covid-19.
Katika mahojiano aliofanya katika jarida la Uhispania la El Pais amesea kuwa kura ya turufu iliotolewa na Ujerumani na Uholanzi baada ya ombi la msaada kwa mataifa ya Kusini mwa Ulaya ikiwemo Italia inatia dosari na ni tishio kwa Umoja wa Ulaya.