Loading...

3/26/2020

VIDEO: Idadi ya CORONA wafikia 13, 111 wawekwa karantini


Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametangaza kuongezeka kwa mgojwa mmoja wa Virus vya COVID 19 na kufikia idadi ya watu 13, ambapo kwa mchanganuo wa Mikoa ni Arusha watu 2, Dar es saalam 8, Zanzibar 2 na Kagera 1 na kwamba mgonjwa wa kwanza ameshapona na wanafanya taratibu aweze kurudi nyumbani.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger