Loading...

3/26/2020

VIDEO: Kesi ya mtuhumiwa ya mauaji ya msichana wa kazi yahairishwa


Kesi namba 5,2020 ya mauaji inayomkabili Mkami Shirima(30) kwa kumuua Salome Zakaria(18) ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani mnamo Machi 6 mwaka huu imeahirishwa Hadi tarehe 8 April.

Kwa upande wake wakili wa serikali Penina Joakimu  amesema kuwa kutokana na upelelezi kutokamilika ameiomba mahakama kupangiwa siku  nyingine.

Akizungumza hakimu mkazi mfawizi wa mahakama ya wilaya Arumeru,Amalia Mushi alisema kesi  hiyo itatajwa tena mnamo April 8 mwaka huu huku mshitakiwa akiwa bado yupo mahabusu katika gereza la kisongo mkoani arusha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KU SUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger