Loading...

3/22/2020

VIDEO: Mapambano ya Corona Kanisani 'tuwe na mfungo wa maombi kumlilia mungu'


Askofu Mkuu wa makanisa ya Kipentekoste mkoani Mara David Balagi amewaagiza waumini wa kanisa hilo kuwepo mabadiliko ya ibada za mazishi na harusi  kutokana na janga la Corona pia kufuata masharti yaliyotolewa na serikali juu ya ugonjwa wa corona.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger