Korea Kaskazini imesema Kiongozi wake Kim Jong Un hajalazwa na hayuko hoi kitandani kama inavyodaiwa na Marekani na vyanzo vingine na kusisitiza kuwa maelezo zaidi kuhusu uzushi huo yatatolewa baadae.
Kim anadaiwa kuugua kisa uvutaji sigara kupita kiasi, uzito mkubwa na kufanya kazi kupitiliza.