Magaidi 20 wa kundi la PKK/YPG waangamizwa na jeshi la Uturuki

Magaidi 20 wa kundi la PKK  na  tawi lake wa YPG wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Uturuki.

Magaidi 20 wa kundi la PKK  na tawi  lake la YPG wameandamizwa na jeshi la Uturuki baafa ya kuonekana wakijaribu kujipenyeza katika eneo abalo kimeendeshwa operesheni ya Chanzo cha Amani nchini Syria.

Wizara ya ulinzi ya Uturuki imefahamisha kuwa wanajeshi mashujaa katika eneo hilo wamewazuia magaidi hao kujipeneyeza na kuwaangamiza kwa risasi.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia