Visa vya corona Uganda vyafikia 56


Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya idadi ya visa vya corona kufikia 56 nchini humo, mgonjwa mpya ni mkimbizi wa Burundi mwenye umri wa miaka 46 ambaye aliingia Uganda akitokea Tanzania na akawekwa karantini.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia