Nyumbani Ligi Kuu ya Tanzania Bara kuendelea Juni 13, 2020 byMuungwana Blog 5 -5/28/2020 08:14:00 PM 0 Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kuanzia Juni 13 mwaka huu baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi 2 kutokana na janga la corona , ratiba kutolewa Jumapili wiki hii Mei 31, 2020. Facebook Twitter