Ndalichako -"Mitihani ya kidato cha sita itaanza Juni 29



Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema, mitihani ya kidato cha sita mwaka 2020 itaanza Juni 29 hadi Julai 16, 2020. Matokeo ya mitihani hiyo yatatoka kabla ya Agosti 31, 2020