Kuna dalili uongozi wa Real Madrid ukatenga wachezaji kadhaa kwa ajili ya kuushawishi uongozi wa Man United kupata huduma za Paul Pogba.
Wachezaji hao ni Martin Odegaard, Brahim Diaz, James Rodriguez na Lucas Vazquez.
Kiungo huyo hajashirikishwa kwenye mechi yeyote tangu Mwaka jana Septemba ila amerudi mazoezini pamoja na wachezaji wenzake kwa matumaini ya Ligi kurejea tena Juni 19.
Mashabiki wa Manchester United wamekuwa nashauku kubwa kumuona kiungo huyo akicheza sambamba na Bruno Fernandes aliyeanza kwa kasi baada ya kusajiliwa kwenye dirisha dogo la Januari kutoka timu ya Sporting CP.