Trump: "Leo tumetambua fika ujumbe kuhusu udugu katika Uislamu

Rais wa Marekani , Donald Trump  amewapongeza waislamu ulimwenguni kote katika ujumbe wake wa siku kuu ya  kusherehekea kumalizika kwa mwezi mtuku wa Ramadhani.

Katika ujumbe wake , rais Trump  yeye na familia yake amesema kuwa wanawatakia waislamu  nchini Marekani  na ulimwenguni kote siku kuu njema ya Eid al Fitr.

Rais Trump ameendelea akisema kwamba licha ya kuwa katika kipindi kigumu hiki cha kukabiliana na virusi vya corona, waumini wanaendelea kumuomba muumba kuondoa janga hili.

Tunawattakia siku kuu njema  ya Eid waislamu wote ulimwwnguni.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia