Watu 16 wamefariki nchini Bangladesh kwa kunywa pombe ilioharibika.
Watu 16 wamefariki baada ya kunywa pombe ilioharibika nchini Bangladesh katika eneo la Kasakzini-Magharibi.
Imeripotiwa kwamba, pombe hiyo ilikuwa na sumu na ndio sababu iliopelekea vifo hivyo.
Kulingana na taarÅŸfa zilzitolewa na shirika la habari la India Press Trust of India , limechapisha habari kuwa watu 16 wamefariki baada ya kunywa pombe iloharibika wakiwa katika sherehe Kaskazini-Magharibi mwa Bangladesh.
Maafisa wa afya katika hospitali nchini humo wameliambia shirika hilo la habari kuwa watu 12 miongoni mwa watu waliopelekwa hospitali bado wanapatiwa matibabu.
Uchunguzi hukusu pombe hiyo wapi ilipotokea hadi kusababisha maafa umeanzishwa.
Adhabu kali itatolewa kwa yeyote atakaekutwa na hatia ya kuhusika na kusababisha maafa hayo.