Breaking News: Mbowe avamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana Dodoma

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini dodoma.

Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene, amethibitisha tukio hilo ambalo lilitokea usiku wa Jumatatu.

Makene amesema Mbowe kwa sasa anapokea matibabu.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia