Idadi ayw awtu waliofatik katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7,5 katika kipimo cha Richter yaripotiwa kuongezeka.
Taarifa baada ya tetemeko la ardhi liliotokea nchini Mexico, tetemeko ambalo lilikuwa na ukubwa wa 7,5 katika kipimo ch Richter zimefahamisha kwamba idadi ya watu waliofariki katika tetemeko hilo imeongezeka na kufikia watu 7.
Tetemeko hilo lilitokea katika enei la Oaxaca Jumanne k Kusini mwa Mexico.
Gavana wa jimbo hilo la Oaxaca Alejandro Murat amewaambia wanahabari kwamba majumba zaidi ya 500 wamebomoka kutokana na tetemeko hilo.
Majumba ya kihistoria na majengo ya serikali yameathirika kutokana na ukubwa wa tetemeko hilo.
Watu 6 wameripotiwa kujeruhiwa mjini Mexico .
Kitengo cha kutoa msaada wakati wa matukia hatari ya dharura kimesema kwamba majumba makubwa manne ya kihistoria yameathrika pia na watu zaidi ya milioni 2,5 wamekosa huduma ya umeme na kudhoofisha ufanisi wao katika kazi zoa.