Polisi na Raia wakizungu wakiosha watu weusi miguu, kuwaomba msamaha


Hii imetokea huko North Carolina ambapo Polisi pamoja na raia wa kizungu wamewaosha miguu raia wenye asili ya kiafrika kama ishara ya kuwaomba msamaha kutokana na kile kinachoendelea kuhusu ubaguzi wa watu weusi.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia