BREAKING: CCM imempitisha Dk. Hussein Mwinyi mgombea Urais Zanzibar




CCM imempitisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa mgombea Urais wa CCM Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawasawa na asilimia 78.65 ya kura zilizopigwa.