Kama wewe ni mtu ambaye huchepui, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mweza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana
na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna
foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.
Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.
Utapata ammani moyoni
·Utaepukana
na magonjwa
·
Utakuwa na Furaha isiyo elezeka
·Utajimini
zaidi
Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)
Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)
·
Utafurahia tendo la ndoa zaidi (Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
·mkeo
au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
·Utapata
muda mwingi wa kuwa na familia yako