Hospitali ya Mnazi mmoja yatekeleza agizo la Naibu Katibu Mkuu




Hospital ya Mnazi Mmoja ya Tekeleza Agizo la Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia maswala ya Afya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Dkt. Dorothy Gwajima la kuweka namba za Huduma kwa Wateja ili wananchi kuwasilisha kero na kutatuliwa kwa wakati.


Angizo hilo lilitolewa mapema wiki iliyopita Dkt Gwajima alipofanya ziara katika Hospitali hiyo iliyoko Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia