Mganga mkuu alipata kigugumizi kuniambia majibu ya vipimo vya corona - RC Mghwira


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt,Anna Mghwira amesema Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro alipata wakati mgumu wa namna ya kupeleka majibu ya vipimo vya homa ya Mapafu (COVID- 19).

Dkt Mghwira ameyasema hayo wakati wa tamasha la shukrani kwa Mungu kwa kuliepusha taifa na virusi vya Corona,tamasha lililoenda sambamba na uzinduzi wa wimbo wa Dkt Mghwira kuhusu ugonjwa huo.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia