Na Faruku Ngonyani, Mtwara
Halmashuri zipatazo 185 kutoka Tanzania Bara na Wilaya za Zanzibar katika kipindi cha awamu ya Tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III).
Utekelzaji huo utafanyika katika Vijiji,Mitaa, Shehia kwa upande wa Zanzibar na kujumuisha maeneo ambayo hayakupata fursa katika kipindi cha kwanza cha utkelezaji wake ambapo umekamilika.
Hayo yamesemwa na Mercy Mandawa Mtaalam wa mafunzo na Ushikishwaji -TASAF Makoa Makuu kutoka Dar e salaam wakati wa kuwajengea uwezo wawezeshaji na wakuu wa idara kutoka halmashuri ya Manispaa Mtwara Mikindani juu ya utendaji kazi na kuleta manufaa kwa wahusika.
Lakini pia Mtalam huto amechuku fursa hiyo kwa kuwakumbusha wawezeshaji kuendelea kuendelea kuchukua tahadhari juu ya maambikizi yay a homa kali yanayosbaibshwa na virusi vya Corona yaani COVID 19.
Aidha wazeshaji hao watalazimika kula kiapo cha uadilifu ikiwa ni sehemu ya utarabu wa kuwawajibisha wawezeshaji watakakyuka wakati waufanyaji wa kazi wa kutekeleza jukumu lake.
Mpango wa Mradi wa Maendeleo ya jamii (TASAF) ikiwa na lengo la kufikisha azma ya mpango wa Seriakli wa kunusuru kaya masikini ambapo kwa kiasi kikubwa imewezesha kwa kiasi kikubwa kupungua umasikini kwa kiasi kikubwa hapa nchini.
