Ben Pol abadili dini na kuwa Mwuislam


Mwanamuziki wa BongoFleva Ben Pol leo Novemba 23, 2020 ametangaza kubadili  dini na kuwa muislamu.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, BenPol ameweka taarifa za picha  zilizoambatana na nakala ya cheti cha kubadilisha dini.


Awali Ben Pol alikuwa akitumia jina la Bernard Paul na sasa anatambulika kama Behnam.






Post a Comment

0 Comments