TMA yatabiri mva kubwa kunyesha leo Dar, Lindi na Pwani


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza kunyesha kwa Mvua kubwa leo (Novemba 24) katika Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Pwani na kuwataka wananchi wa maeneo hayo kuchukua tahadhari

Taarifa ya TMA na Utabiri wa siku 5 inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia