Beki wa Simba SC afungiwa mechi tatu

 


Beki wa Simba SC Ibrahim Amme Mohamed amefungiwa mechi tatu kucheza soka baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kumzuia muamuzi msaidizi kufanya kazi yake katika mchezo Gwambina 0-1 Simba SC, uliyochezwa April 24 2021 katika Uwanja wa Gwambina Misungwi jijini Mwanza.

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi