Simba na Yanga kukutana fainali kombe la Shirikisho

 


Timu ya Simba imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam bao lililofungwa na Luis Miquissone katika  dakika ya 89 ya mchezo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho.

Matokeo hayo yanawakutanisha Simba na Yanga kwenye fainali baada ya timu ya Yanga kushinda jana dhidi ya Biashara.


Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia