TFF yamwondolea adhabu Mwakalebela

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela, ameondolewa adhabu ya kufungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi na sasa yupo huru kuendelea na majukumu yake.

Taarifa ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeeleza.



 

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia