Ticker

6/recent/ticker-posts

 


Tetesi za soka Ulaya Jumamosi terehe 27.11.2021

 

Klabu anayotaka kuhamia mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland iwapo ataondoka Borussia Dortmund mwaka ujao Real Madrid, inagawa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 bado hajafanya maamuzi kuhusu hali yake ya baadaye. (Goal)


Aston Villa wataipa kipaumbele hatua ya kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma mwenye Januari huku meneja Steven Gerrard akiangalia jinsia ya kumarisha safu hiyoside. (Football Insider)


Kiungo wa kati wa Leeds United na England Kalvin Phillips, 25, atakataa uhamisho wa kuhamia katika klabu hasimu ya Manchester United msimu ujao ili kuendelea kubakia katika klabu yake iliyopo Elland Road. (Star)Barcelona wanahangaika kwa ajili ya kujuhudi za kuwasaka wachezaji watakaoimarisha safu yao ya mashambulizi mwezi Januari na waangalia uwezekano wa kuwahamisha mshambulia wa kati wa Manchester United mwenye umri wa miaka 28 kutoka Jesse Lingard na mshambuliaji wa Uruguay mwenye umri wa miaka 34 Edinson Cavani. (Mundo Deportivo, via the Sun)


Mshambuliaji wa klabu ya Fulham Mserbia Aleksandar Mitrovic, 27, ameandaliwa kwa ajili ya kufanya ujhamisho ambao umekuwa ndoto yake kuelekea Juventus. (Tuttosport, via the Sun)Manchester United pia wanakaribia kabisa kumteua Ralf Rangnick kama meneja wa mpito hadi mwishoni mwa msimu na Ujerumani itahusika katika mchakato wa kumchagua mrithi wake katika Old Trafford. (Star)


Aston Villa wataipa kipaumbele hatua ya kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma mwenye Januari huku meneja Steven Gerrard akiangalia jinsia ya kumarisha safu hiyoside. (Football Insider)Mshambuliaji wa Manchester City Ferran Torres analengwa na Barcelona na klabu hiyo ya Nou Camp tayari imekubali mkataba na mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania mwenye umri wa miaka 21, lakini bado hajafikia makubaliano na klabu hiyo ya Primia Ligi . (Marca)Newcastle United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kusaini mkataba na winga Mfaransa Ousmane Dembele, huku Manchester United pia wakiwa na nia na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye mkataba wake unaisha katika Barcelona msimu ujao. (Mundo Deportivo)


Meneja wa Tottenham Antonio Conte, ambaye klabu yake ilipata pigo la aibu kwa kupoteza kwa NS Mura katika kombe Ligi ya Europa, anasema anafanya''tathmmini'' kuhusu wachezaji wake kabla ya kuongea na klabu. (Mirror)Mikel Arteta amekanusha kwamba Arsenal wako tayari kupokea ofa kwa ajili yaw inga Mivory Coast Nicolas Pepe-mweney umri wa miaka 26 mwezi katika mwezi wa Januari . (Metro)


Ralf Rangnick anatarajiwa kuwa kocha wa muda wa Manchester United lakini awali alikataa ofa kutoka klabu hiyo ya Old Trafford kabla ya kukubali masharti mapya ya mkataba huo. (Manchester Evening News)Kiungo wa kati Muingereza Carney Chukwuemeka, 18, hatasaini mkataba mpya katika Aston Villa, na hivyo kuzifanya klabu kubwa za Primia Ligi kwa makini kumchukua, ikiwa ni pamoja na Manchester City, Manchester United na Liverpool. (Guardian)


Inter Milan wanamatumaini kwamba kiungo wake Mcroatia Marcelo Brozovic,29 atasaini mkataba mpya, mkataba wske wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu. (90 Min)

Post a Comment

0 Comments