VIDEO: Mnada wa kwanza wa chai wafanyika Dar, matumaini kibao


Mnada wa kwanza wa chai umefanyika leo Novemba 13 jiji Dar es salaam na kupewa baraka na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omar, ambapo unatarajia kuongeza ajira, matumizi shughuli zinazofanywa katika bandari za Dar es Salaam na Tanga pamoja na kuongeza uwazi katika biashara ya chai nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia