VIDEO: TALGWU wamjia juu RC Makonda, walaani kauli zake dhidi ya mtumishi wa umma


Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za mitaa Tanzania TALGWU kimelaani matamshi aliyotoa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda dhidi ya mtumishi wa umma wilayani Longido huku wakidai yanavunja heshima ya mfanyakazi, yanadhalilisha na kiasi kikubwa yanavunja ari na morali ya kufanya kazi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHU KUSUBSCRIBE

Chapisha Maoni

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia