Picha: Waziri mkuu Majaliwa aongoza kikao cha kamati kuu ya taifa ya Sensa ya watu na makazi.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akingoza Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kilichofanyika Tarehe 09 Juni, 2024 Ukumbi wa Mikutano wa JNCC Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akiteta jambo na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa wakati wa  Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kilichofanyika Tarehe 09 Juni, 2024 Ukumbi wa Mikutano wa JNCC Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, Salum Kassim Ali na kulia ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Balozi Mohamed Haji Hamza.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge nma Uratibu) Dkt. Jim Yonazi wakati wa Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kilichofanyika Tarehe 09 Juni, 2024 Ukumbi wa Mikutano wa JNCC Jijini Dar es Salaam

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akimsikiliza Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Dkt. Saada Mkuya wakati wa Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kilichofanyika Tarehe 09 Juni, 2024 Ukumbi wa Mikutano wa JNCC Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akitambulisha wajumbe wakati wa Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kilichofanyika Tarehe 09 Juni, 2024 Ukumbi wa Mikutano wa JNCC Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 wakifuatilia kikao hicho.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Profesa Adolf Mkenda akizungumza na baadhi wa Kikao cha Kumi na Moja cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi 2022, Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu.

Post a Comment

0 Comments