Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe, Wakili Edwin Enosy Swalle, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria.
Uchaguzi huo umefanyika jijini Dodoma, ambako vikao vya kamati mbalimbali za Bunge vinaendelea kufanyika.

0 Maoni