Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Indira Gandhi (DEL) na kupokelewa na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Anisa Mbega leo tarehe 14 Januari, 2026 Jijini New Delhi nchini India.
Mhe. Spika amefika nchini India kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 28 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola.
Mkutano huo wa siku tatu (3) unategemewa kufunguliwa kesho tarehe 15 Januari, 2026 na Waziri Mkuu wa India, Mhe. Narendra Modi.
Picha mbalimbali wakati wa mapokezi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, Jijini New Delhi nchini India.

.jpg)
.jpg)
.jpg)
0 Maoni