Yule kijana Aliyekuwa Analitukana Jeshi la POLISI kwenye Mitandao ya Kijamii Akamatwa

Bruno Coleman Kimaryo, alikuwa akijiita majina mengi ya bandia na kutukana sana kwenye mitandao ya kijamii hatimaye safari ameingia mwenyewe choo cha kike na kunaswa na Serikali, haya ni baadhi ya majina ya bandia aliyokuwa akiyatumia kurushia maneno ya chooni huko facebook:- Bruno KIMS.....aka Wegesa Ole Sugutu.


STATEMENT YA POLISI

Huu ndio ujumbe aliouandika kwenya FACEBOOK na kuutuma kwenye Group la TANURU LA FIKRA





Mpya zaidi Nzee zaidi