Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma,
Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo.
Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam leo jioni.
Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia, akihutubia katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega akihutubia kwenye uzinduzi huo.

Mchumi wa CCM Mkoa wa Dar
es Salaam , Neema Urio akihutubia kwenye uzinduzi huo.