Q-Chillah atambulisha bendi yake Bilicanas

 Msanii wa Bongo Fleva, Mb-Dogg, (suruali nyekundu) akifurahi na shabiki wake.
MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva aliyepotea, Aboubakar Katwila ‘Q-Chillah’, usiku wa kuamkia leo ameanza safari yake mpya ya mafanikio kwa kutambulisha bendi mpya itakayokwenda kwa jina la QS International Band.

Utambulisho huo uliohudhuliwa na mashabiki kibao ulifanyika ndani ya Ukumbi wa Bilicanas eneo la Posta jijini Dar es Salaam, akisindikizwa na mfalme wa miondoko ya taarab, Mzee Yussuf, Mb-Dogg na wasanii wengine chipukizi.





Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items