Nyumbani David Luiz kucheza mechi yake ya kwanza leo dhidi ya Liverpool byUnknown -9/16/2016 11:00:00 AM 0 Kocha wa Chelsea Antonio Conte amesema kuwa beki David Luiz atacheza mechi ya leo ya Ligi kuu England dhidi ya Liverpool, Stamford Bridge. Hii itakuwa mechi ya kwanza ya Mbrazil huyo tangu arejee darajani akitokea Psg. Facebook Twitter