Kocha wa timu ya Taifa ya Togo, Claude LeRoy amenusurika kuingia jela lakini amepigwa faini, kwa kuhusika katika uhamisho wa uongo wakati alipokuwa kocha wa Racing Club de Strasbourg, ya Ufaransa.
LeRoy, aliifundisha klabu hiyo, kati ya 1998 hadi 2003, ameagizwa na mahakama kuu ya Strasbourg kulipa pauni 12,790 (Takribani shilingi milioni 36.8).
Kocha huyo alidaiwa kujihusisha katika kughushi sahihi na majina ya uwongo katika uhamisho wa wachezaji wanne.