Ujio wa 4a9 umeleta mapinduzi makubwa katika swala la afya,hili linathibitishwa na wale watu waliopata bahati kutembelea katika mitandao ya kijamii wameona watu mbali mbali walivotoa ushuhuda baada ya kutumia dawa yetu ya 4a9 imeonyesha inawezekana dawa moja ikakabiliana na matatizo mengi yanayoigusa jamii hili halina ubishi.
Tatizo kubwa linalowasumbua wagonjwa walio wengi ni vipimo tu. Kuna baadhi ya watu wametumia dawa mbali mbali lakini wamekosa vipimo kwa hio mgonjwa anakuwa hajui amenufaika vipi na dawa husika na hii ni sababu ya wagonjwa wengi kukata tamaa kwa sababu ya kukosa vipimo.
Kuna baadhi ya watu waliokuwa wanasumbuliwa na tumbo kujaa mfano kama amebeba kitu katika tumbo lake,mwili wake huwa mzito wakipiga picha tumboni wanakuta gesi nyingi wakatu mwingine michirizi kama utumbo umeparuliwa,wakati mwingine huona tabu ata kula kwa sababu ya tumbo kumjaa,watu hawa walipata nafuu baada ya kutumia 4a9 na hali ikarejea katika hali ya kawaida hii ni 4a9 katka maswala haya.
4a9 katika upande wa kansa kama ukienda kwenye youtube unaweza ukaona ushuhuda huu,mama huyu alikuwa na uvimbe kwenye shingo yake baada ya upasuaji huduma aliokuwa anapata ni mionzi tu. Alipofika katima katika redio ya ulanga mahenge kuomba msaada viongozi wakamwambia mtafute T.r msigwa akusaidie. Mwili wake ilikuwa unavuja damu na huduma ya mionzi ilifeli.
T.r msigwa akampokea bure na akamtibu kupitia 4a9 na akapona,baada ya miez sita ijayo alimtafuta msigwa kwa kumsukuru na kumletea matunda kwa kuwa hakuwa na kitu.
Tukamuomba tumrekod na ushuhuda huo tukauweka kwenye youtube ili ulimwengu uone. Wakati tunakusanya maoni katika wilaya nne tulikutana na watu waliotumia 4a9 kwa ukosefu wa kipato lakini kuna baadhi waliacha kutokana na kukosekana kwa kipimo cha kuchunguza afya zao.
Katika maoni tuliokusanya asilimia kubwa wanalakamika hali ya uchumi lakini dawa ni nzuri na wanaitaka,katika wilaya hizo nne kiongozi yoyote wa serikali anajua namna gani 4a9 inakubalika,katika wilaya hizo ambazo T.r msigwa amefanyia uchunguzi.
Hii kauli nnayoisema sasa nlishaisema nyuma katika makala zangu kama tatu zilizopita"kuipeleka 4a9 katika maradhi mbalimbali kumepanua wigo katika nchi tofauti tofauti ambazo wanafatilia makala za T.r msigwa"
4a9 inatumiwa na watu wenye tatizo la sukari
Haya tuliyaona wakati wa kupokea maelezo katika ziara yetu ya kukusanya maoni kwa watu waliotumia 4a9 na maoni haya tuliyakusanya kwenye kila kijiji kila kata na kila wilaya.
Mkoa wa Maswa tulikusanya maoni kidogo hatukuwa na uwezo wa kuizunguka yote. Lakini mungu akijaalia tutarudi Maswa na kukusanya maoni yote na kuyaweka kwenye youtube ili dunia ione tunachokifanya.
Vijana waliotumwa na T.r msigwa kwenda maswa walikutana na mzee mmoja ambae alikuwa na tatizo la kupooza upande mmoja kwa kipindi kirefu zaidi,mzee huyu alipewa chupa mbili za 4a9 kama majaribio,baada ya wiki moja mzee yule alisimama na kuanza kutembea na ndo ikawa sababu ya 4a9 kujulikana huko Simiyu,akiridhia tutaonyesha ushuhuda wake jinsi alivokuwa anataabika na maradhi na alipopata mafanikio na imekuwa chachu ya watu wengi kuijua 4a9 na wakaitumia. Na nawaahidi watu wa maswa kuweka kituo kikubwa cha kusambaza 4a9 katika kanda ya ziwa. Watu wengi wameipokea 4a9 na watu wengi walinufaika na habari kuenea kwa haraka zaidi.
Kwa sasa tokea vijana wanaotoa habari za 4a9 katika mitandao, Mikoa mingi imekuwa ikifurahishwa na ushuhuda wanaouona na wamekuwa wakiihitaji 4a9. Kwa uwezo wa mungu tutaona ni namna gani tuwafikie watanzania kwenye kila kona ya taifa letu.
Ningependa kuwajulisha kuwa T.r msigwa ataanza kuitangaza 4a9 mwezi wa 2 mwaka 2017. Atakaetaka kuwa wakala wa 4a9 kama atatimiza vigezo atavoridhia T.r msigwa basi atafanya nae kazi.
Ningependa kutoa wito kwa vijana wa Tanzania kuutumia msamiati huu
Ni busara sana kufikiri kwa kina kabla kufanya jambo na ni aibu kwa kijana kulalamika, baba kama hajui wajibu wake kwa mtoto
Mtoto anatakiwa atekeleze wajibu wake kwa mzazi wake ata kama yeye hakutekelezewa wajibu huo. Ni wajibu wetu kujenga taifa kwa uwajibikaji kama hatukufanya hivyo tutakuwa na taifa la watu wenye kazi ya kulalamika tu.
Nawasihi vijana wenzangu wa kitanzania wafikiri kwa kina namna gani watajikwamua na kulisaidia taifa letu ili raia wa mataifa mengine waheshimu taifa letu.
Leo T.r msigwa amepeleka 4a9 katika taifa la
Mungu akipenda mwaka unaokuja January watu wa Angola wameomba wawe maajent wa 4a9.
T.r msigwa ni mtanzania anawasaidia raia wa mataifa hayo alioyataja.
Nichukue fursa hii fupi kuwapongeza watanzania waliokuwa katika nchi hizo na kueneza habari za 4a9 katika mataifa hayo.
Lengo ni kutoa mchango kwenye taifa langu,pili ni kizuia pesa zetu kwenda katika mataifa ya wenzetu,mtu kununua dawa za nje iwe mahaba yake tu lakini si uimara wala ubora wa dawa.
Nitafafanua nini maana ya neno tafiti,makala zangu 2 zitakazokuja nitazungumzia tafiti ina maana gani,tofauti ya tafiti za kimagharibi na tafiti zisizo za kimagharibi nafikiri hili linaweza likasaidia kidogo kuelewa nini maana ya tafiti. Najua watanzania wanajua nini maana ya tafiti lakini kuwakumbusha ni bora zaidi.
Nimalize kwa kuwakumbusha kuwa T.r msigwa atafanya ziara katika mikoa mitatu Kigoma,Bukoba na Mwanza.
Ikiwezekana kama nafasi itatosha atamalizia na mkoa wa Mtwara wilaya ya masasi.
Nitoe wito kwa watanzania wakati umefika wa kuimarisha afya zetu kwa kutumia 4a9.
Nitaendelea kutoa ufafanuzi kwa wale watakaotaka ufafanuzi kwa njia ya simu na kwa anaetaka kuonana na mimi ni bure na tutakujibu bila tatizo lolote wala gharama yoyote.kwa mawasiliano zaidi nipigie kupitia:-
0713646691
0752819047
0773149272
0787677215
Au email adress
Doctorymsigwa@gmail.com
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki T.r msigwa.

- -huondoa sukari kwenye damu
- -huondoa uchovu
- -hukausha kidonda
- -huondoa madonda kwenye kongosho
- -huimarisha kinga na kumfanya mtu awe imara
- -huondoa manjano kwa mtu mwenye tatizo la kongosho inopelekea sumu ile kuingia kwenye damu
Haya tuliyaona wakati wa kupokea maelezo katika ziara yetu ya kukusanya maoni kwa watu waliotumia 4a9 na maoni haya tuliyakusanya kwenye kila kijiji kila kata na kila wilaya.
Mkoa wa Maswa tulikusanya maoni kidogo hatukuwa na uwezo wa kuizunguka yote. Lakini mungu akijaalia tutarudi Maswa na kukusanya maoni yote na kuyaweka kwenye youtube ili dunia ione tunachokifanya.
Vijana waliotumwa na T.r msigwa kwenda maswa walikutana na mzee mmoja ambae alikuwa na tatizo la kupooza upande mmoja kwa kipindi kirefu zaidi,mzee huyu alipewa chupa mbili za 4a9 kama majaribio,baada ya wiki moja mzee yule alisimama na kuanza kutembea na ndo ikawa sababu ya 4a9 kujulikana huko Simiyu,akiridhia tutaonyesha ushuhuda wake jinsi alivokuwa anataabika na maradhi na alipopata mafanikio na imekuwa chachu ya watu wengi kuijua 4a9 na wakaitumia. Na nawaahidi watu wa maswa kuweka kituo kikubwa cha kusambaza 4a9 katika kanda ya ziwa. Watu wengi wameipokea 4a9 na watu wengi walinufaika na habari kuenea kwa haraka zaidi.
Kwa sasa tokea vijana wanaotoa habari za 4a9 katika mitandao, Mikoa mingi imekuwa ikifurahishwa na ushuhuda wanaouona na wamekuwa wakiihitaji 4a9. Kwa uwezo wa mungu tutaona ni namna gani tuwafikie watanzania kwenye kila kona ya taifa letu.
Ningependa kuwajulisha kuwa T.r msigwa ataanza kuitangaza 4a9 mwezi wa 2 mwaka 2017. Atakaetaka kuwa wakala wa 4a9 kama atatimiza vigezo atavoridhia T.r msigwa basi atafanya nae kazi.
Ningependa kutoa wito kwa vijana wa Tanzania kuutumia msamiati huu
Ni busara sana kufikiri kwa kina kabla kufanya jambo na ni aibu kwa kijana kulalamika, baba kama hajui wajibu wake kwa mtoto
- - au hana mipango madhubuti kwa mtoto
- -au hatimizi wajibu wake kutokana na kipato chake si sababu ya msingi kwa mtoto kulalamika,
Mtoto anatakiwa atekeleze wajibu wake kwa mzazi wake ata kama yeye hakutekelezewa wajibu huo. Ni wajibu wetu kujenga taifa kwa uwajibikaji kama hatukufanya hivyo tutakuwa na taifa la watu wenye kazi ya kulalamika tu.
Nawasihi vijana wenzangu wa kitanzania wafikiri kwa kina namna gani watajikwamua na kulisaidia taifa letu ili raia wa mataifa mengine waheshimu taifa letu.
Leo T.r msigwa amepeleka 4a9 katika taifa la
- -Uingereza
- -Ujerumani
- -Omani
- -Qatar
- -Saudia
- -Zambia
- -Rwanda
- -Burundi
- -Malawi
Mungu akipenda mwaka unaokuja January watu wa Angola wameomba wawe maajent wa 4a9.
T.r msigwa ni mtanzania anawasaidia raia wa mataifa hayo alioyataja.
Nichukue fursa hii fupi kuwapongeza watanzania waliokuwa katika nchi hizo na kueneza habari za 4a9 katika mataifa hayo.
Lengo ni kutoa mchango kwenye taifa langu,pili ni kizuia pesa zetu kwenda katika mataifa ya wenzetu,mtu kununua dawa za nje iwe mahaba yake tu lakini si uimara wala ubora wa dawa.
Nitafafanua nini maana ya neno tafiti,makala zangu 2 zitakazokuja nitazungumzia tafiti ina maana gani,tofauti ya tafiti za kimagharibi na tafiti zisizo za kimagharibi nafikiri hili linaweza likasaidia kidogo kuelewa nini maana ya tafiti. Najua watanzania wanajua nini maana ya tafiti lakini kuwakumbusha ni bora zaidi.
Nimalize kwa kuwakumbusha kuwa T.r msigwa atafanya ziara katika mikoa mitatu Kigoma,Bukoba na Mwanza.
Ikiwezekana kama nafasi itatosha atamalizia na mkoa wa Mtwara wilaya ya masasi.
Nitoe wito kwa watanzania wakati umefika wa kuimarisha afya zetu kwa kutumia 4a9.
Nitaendelea kutoa ufafanuzi kwa wale watakaotaka ufafanuzi kwa njia ya simu na kwa anaetaka kuonana na mimi ni bure na tutakujibu bila tatizo lolote wala gharama yoyote.kwa mawasiliano zaidi nipigie kupitia:-
0713646691
0752819047
0773149272
0787677215
Au email adress
Doctorymsigwa@gmail.com
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki T.r msigwa.
ANGALIA VIDEO HII.