Nyumbani Barcelona Yaitandika Osasuna 3-0 La Liga byUnknown -12/10/2016 09:00:00 PM 0 Samuel Umtiti wa Barcelona akimtoka Oriol Riera wa Osasuna katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa El Sadar, Pamplona mjini Irunea. Barca imeshinda 3-0 mabao ya Luis Suarez dakika ya 59 na Lionel Messi mawili dakika ya 72 na 90 Facebook Twitter